Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quite a spot... city entre...utalamba hela kibao za maponjoro na wadosi!Mkuu safi sana, Watanzania tunazungumza sana vitendo 0.00%.
Kama unafedha safiri nenda Dubai chukua contena zima la vifaa vya kisasa ni bei rahisi mno, vifaa vya kuanzia ni vizuri vingi viwe vya aerobics/cardio i.e cross trainer,Trademills na spining byscle then vya upande wa weight lifting weka vichache. DSM gym ya kisasa ni moja tu iko colleseum O'bay na bei yake ni ya ghali sana, mjini kati gym ni moja tu, gymcana club na huko bila membership huingii na wakikukubalia itakubidi ulipe laki na 30 kwa mwezi na unapangiwa muda maalumu wa kwenda.
Kama unamtaji wa kutosha fungua city center na wateja nidai mimi.
Mkuu safi sana, Watanzania tunazungumza sana vitendo 0.00%.
Kama unafedha safiri nenda Dubai chukua contena zima la vifaa vya kisasa ni bei rahisi mno, vifaa vya kuanzia ni vizuri vingi viwe vya aerobics/cardio i.e cross trainer,Trademills na spining byscle then vya upande wa weight lifting weka vichache. DSM gym ya kisasa ni moja tu iko colleseum O'bay na bei yake ni ya ghali sana, mjini kati gym ni moja tu, gymcana club na huko bila membership huingii na wakikukubalia itakubidi ulipe laki na 30 kwa mwezi na unapangiwa muda maalumu wa kwenda.
Kama unamtaji wa kutosha fungua city center na wateja nidai mimi.
go to this site Made-in-China.com China manufacturer directory, China products, China suppliers, China trade, China factory
search for fitness equipment,gym. wandike watakupa price quote nzuri. ila inabidi uregister with them
asante sana newmzalendo kwa uzalendo wako, hakika hii link itakuw avery usef kwangu
ukifanikiwa kuanzisha gym in Dar ,natumaini nitapata discount ktk membership ,japo 50%discount 🙂