mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Habari.
Tigo wanaomba wateja wake radhi kwa tatizo la mtandao lililotokea jana.
Tuma message yenye neno BURE kwenda 15304.
utapata dk 10 sms bila kikomo na mb 10 za kutua leo tuu..
Changamkia fursa hii.