Captain22 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 629 Reaction score 282 Jul 7, 2012 #1 Wadau heshima kwenu. Nimepata interest ya kuanzisha kampuni ya udalali au kama inavyojulikana dalali wa mahakama. Naomba kufahamishwa hatua mbalimbali za kufata ili nitambulike kisheria. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Wadau heshima kwenu. Nimepata interest ya kuanzisha kampuni ya udalali au kama inavyojulikana dalali wa mahakama. Naomba kufahamishwa hatua mbalimbali za kufata ili nitambulike kisheria. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Captain22 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 629 Reaction score 282 Jul 13, 2012 Thread starter #2 Wenye ufahamu please nisaidieni
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,532 Reaction score 2,415 Jul 19, 2020 #3 Daaah uzi toka 2012[emoji23][emoji23]