Kuanzisha kampuni ya udalali/ court brokers

Kuanzisha kampuni ya udalali/ court brokers

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
629
Reaction score
282
Wadau heshima kwenu. Nimepata interest ya kuanzisha kampuni ya udalali au kama inavyojulikana dalali wa mahakama.

Naomba kufahamishwa hatua mbalimbali za kufata ili nitambulike kisheria. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Back
Top Bottom