Anza na wazo kwanza unataka kuanza biashara gani, wapi, wateja ni nani malighafi au mzigo utatoka wapi? Baadae utaweza kwenda brela nk
Nitafute inbox nitakusaidie kila kitu mpaka registration za brela!Ok kwa sasa naandika hyo business plan inayoelezea biashara yote kwa ujumla
Watafute watu wanaitwa afrolink-tz consult ltd wamo humu ndani kwa masuala yote yanayohusiana na usajili wa kampuni na ushauri wao watakusaidia bure kabisaWana jamvi habari za leo!
Nataka kuanzisha kampuni ya familia itakayokuwa ina deal na kilimo na ufugaji.
Sasa naomba msaada wa kuanzisha kampuni kisheria nifuate taratibu zipi? na pia najua kuna aina mbalimbali za kampuni sasa hii itakua inaendeshwa na mitaji kutoka kwa wanafamilia so nashindwa kuiweka katika category ipi.
Msaada wana jamvi, natanguliza shukrani [emoji1431]
Wana jamvi habari za leo!

Akili nzuri sana for the future of family 200 yrs to cames/Wana jamvi habari za leo!
Nataka kuanzisha kampuni ya familia itakayokuwa ina deal na kilimo na ufugaji.
Sasa naomba msaada wa kuanzisha kampuni kisheria nifuate taratibu zipi? na pia najua kuna aina mbalimbali za kampuni sasa hii itakua inaendeshwa na mitaji kutoka kwa wanafamilia so nashindwa kuiweka katika category ipi.
Msaada wana jamvi, natanguliza shukrani [emoji1431]
Mkuu Shimaje
1. Hilo linawezekana kwa kampuni moja kuwa biashara zote hizo.
2. Pia suala la mtaji unaweza kusajili mkubwa lakini idadi ya hisa zilizolipiwa zikawa chache kulingana na Mtaji halisi uliopo kwa wakati huu ila badae ukawa unaongeza kdg kdg hadi kufikia kiwango ambacho mmepanga.
3. Taratibu za kufungua ni kwamba wanahisa wote mnatakiwa muwe na vitambulisho/namba za vitambulisho vya Taifa, TIN, MEMARTS, wanahisa kuanzia wawili na wakurugenzi wawe walau na umri kuanzia miaka 21
Kwa maelezo zaidi watembelee BRELA|Business Consultant alie jirani nawe au karibu kwetu:
Mobile: 0659211222|0777777766
Email: info@afrolink.co.tz

Akili nzuri sana for the future of family 200 yrs to cames/
Hata mimi nimefanya hivyo,ispokuwa nunua ardhi kubwa kiasi.maana ndio msingi mkuu.
BLESSED BE,kwa kuona kile wengi hawawezi ona zaidi,na huonwa na watu wenye I.Q kubwa tu,wenye I.Q,ndogo wao kazi yao ni kuyajaza matumbo yao tu.
Mkuu kama ukikwama popote kuhusiana na kufungua kampuni, au ukiwa na swali la kuuliza au chochote unachotaka kujua nipigie 0714499248..