Wana jamvi habari za leo!
Nataka kuanzisha kampuni ya familia itakayokuwa ina deal na kilimo na ufugaji.
Sasa naomba msaada wa kuanzisha kampuni kisheria nifuate taratibu zipi? na pia najua kuna aina mbalimbali za kampuni sasa hii itakua inaendeshwa na mitaji kutoka kwa wanafamilia so nashindwa kuiweka katika category ipi.
Msaada wana jamvi, natanguliza shukrani [emoji1431]