cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Habari,nahitaji mtu wa kuniandikia mpangokazi wa kuanzisha biashara ya cable tv ili kupata mkopo benki,malipo baada ya kupata mkopo,asante!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari,nahitaji mtu wa kuniandikia mpangokazi wa kuanzisha biashara ya cable tv ili kupata mkopo benki,malipo baada ya kupata mkopo,asante!
Weye wataka mkopo wa bank kisha basi, wala huna nia ya kuanzisha biashara ya cable tvHabari,nahitaji mtu wa kuniandikia mpangokazi wa kuanzisha biashara ya cable tv ili kupata mkopo benki,malipo baada ya kupata mkopo,asante!
Cable Tv zinalipa sana Watanzania tumeshasoma sana haina haja ya kutumia Supper Sport unaweza kutumia King'amuzi kingine na ukapiga hela. watanzania wengi wanapenda mpira wa miguu so ukiwa na nyumba 400 umeziunganisha kwa bei ya Tshs. 10000 kwa mwezi unaweza kupata 4,000,000 kwa mwezi hapo ukijitanua utapata hadi 20,000,000.