Kuanzisha kituo cha soccer academy

Kuanzisha kituo cha soccer academy

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Ndugu jamaa na marafiki, poleni na majukumu ya kila siku!!

Nimekuja kupata ushauri kwa yeyote mwenye idea kuhusu kuanzisha rasmi kituo cha soka la watoto (academy). Nimejiwa na wazo ili baada ya kuona kwamba michezo ni ajira pia ni biashara. Tuna vijana tunawahudumia hapa mtaani kwetu kwa kuwawezesha nikimaanisha ku-organise,kugharamia vifaa kama jezi, mipira, nyavu za magoli na kuwatibia in case wanapoumia.

Pia tuna wahudumia chakula na usafiri pale inapobidi kufanya hivyo. Tumekuwa na mwamko huo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, na kwa bahati hawa watoto kila tunapowapelelka basi baada ya muda utakuta wanachukuliwa na kusajiriwa na vilabu vya ligi kuu, huku kituo hakiambuliii hata sh moja.

Hivi sasa ninavyoandika vijana watano tayari wako mbioni kujiunga na vilabu mbalimbali vya premier league. Naomba muongozo ni kwa jinsi gani tunaweza kugeuza hili jambo kuwa ni biashara kwa kituo badala ya kubaki na sifa tuuu kuwa tuna vijana wapo ligi kuu kutoka kwetu?

Napenda kuwakilisha.
 
Hebu tusubiri wajuzi wa haya mambo waje mkuu.
 
Ni idea nzuri sana binafsi ni project ambayo naifanyia tafiti na nataman sana kuifanya kutokana na uwepo wa uhitaj wa wachezaji ndan na nje ya nchi kama uwezo upo ifanye tafuta undani wake zaidi uwekeze ,Uvumiliv ni muhim sana kwnye hilo kila la heri
 
Hii kitu safi sana kama una interest na michezo,kuna jamaa yangu mmoja alinipeleka site kwake bagamoyo ameshaanza kujenga hostel ana sehem ya michezo ya vijana hao.Kiukweli ni very good idea kama una mpunga wa kutosha kuanzisha hiyo maana jamaa amekomba account zote na bado hela inahitajika tu
 
Ndugu jamaa na marafiki, poleni na majukumu ya kila siku!!

Nimekuja kupata ushauri kwa yeyote mwenye idea kuhusu kuanzisha rasmi kituo cha soka la watoto (academy). Nimejiwa na wazo ili baada ya kuona kwamba michezo ni ajira pia ni biashara. Tuna vijana tunawahudumia hapa mtaani kwetu kwa kuwawezesha nikimaanisha ku-organise,kugharamia vifaa kama jezi, mipira, nyavu za magoli na kuwatibia in case wanapoumia.

Pia tuna wahudumia chakula na usafiri pale inapobidi kufanya hivyo. Tumekuwa na mwamko huo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa, na kwa bahati hawa watoto kila tunapowapelelka basi baada ya muda utakuta wanachukuliwa na kusajiriwa na vilabu vya ligi kuu, huku kituo hakiambuliii hata sh moja.

Hivi sasa ninavyoandika vijana watano tayari wako mbioni kujiunga na vilabu mbalimbali vya premier league. Naomba muongozo ni kwa jinsi gani tunaweza kugeuza hili jambo kuwa ni biashara kwa kituo badala ya kubaki na sifa tuuu kuwa tuna vijana wapo ligi kuu kutoka kwetu?

Napenda kuwakilisha.
Wasalaam mkuu, naomba nitoe ushauri wangu ingawa si mtaalamu wa haya mambo.
Kwa kuwa wazo tayari mnalo na mshaanza harakati hebu fanya yafuatayo.
1. Tafuteni ofisi ili muwe na address yenu.
2. Chagueni viongozi.
3. Kuweni na katiba na muongozo.
4. Fanyeni usajili wa kituo chenu kuanzia Brella, Baraza la michezo n.k.
5. Kila mchezaji/mtoto mnayemlea kuwa naye na mkataba kisheria.
6. Fanyeni proper monitoring kwa kila mtoto kuanzia nyumbani, shuleni, mtaani, uwanjani n.k.
6. Jitangazeni kwa vilabu mbalimbali.
7. Tafuteni wadhamini nadhani hamuwezi kosa, udhamini sio lazima hela mnaweza hata kuomba kambi tu, maji, chakula, usafiri, matibabu, muwalee kwa usasa zaidi.

N.K N.K

LAST BUT NOT LEAST.

Corinthians 9:24-27
24 Do you not know that in a race all the runners run, but only one gets the prize? Run in such a way as to get the prize.
25 Everyone who competes in the games goes into strict training. They do it to get a crown that will not last, but we do it to get a crown that will last forever. 26 Therefore I do not run like someone running aimlessly; I do not fight like a boxer beating the air. 27 No, I strike a blow to my body and make it my slave so that after I have preached to others, I myself will not be disqualified for the prize.
 
Back
Top Bottom