Kuanzisha kiwanda cha kukoboa mpunga

alutesalim

Member
Joined
Jul 11, 2019
Posts
6
Reaction score
3
Naomba ushauri ndugu zangu, nina mtaji wa M15 nataka nifungue kiwanda cha kukoboa mpunga, je hela hyo itatosha?, biashara hii inalipa?, yapi maeneo mazuri yakufanyia kwa wilaya ya mvomero mana mim sio mwenyeji hapo?

Karibuni kwa ushauri
 
Naomba ushauri ndugu zangu, nina mtaji wa M15 nataka nifungue kiwanda cha kukoboa mpunga, je hela hyo itatosha?, biashara hii inalipa?, yapi maeneo mazuri yakufanyia kwa wilaya ya mvomero mana mim sio mwenyeji hapo?

Karibuni kwa ushauri
Daaa hapo mashine mkuu znatofautiana ubora mfano huku maeneo ya mngeta ifakara kuna mashine za kisasa zinafungwa moja imenunuliwa sh mil10 yenye kinu cha chini but ingekuwa vyema ukawatembelea wenye mashine na ukafanya utafiti kabla hujaingia huko.
Kuhusu faida hizi mashine zinawalipa sana hasa ukiwa karibu na wafanya biashara mfano huku nilipo mimi gunia kukoboa la debe kumi ni sh elf5 na mabosi wenye mashine wanachofanya baadhi wanakuwa na watu wao wakaribu wanao waamini wanawapatia mitaji na kwenda shamba kununua mipunga then wanakuja kukobolea hapo hapo kwenye mashine zao faida wanabeba mtaji unabaki wa boss na hela ya kukobolea unatoa so jaribu kufanya utafiti kwanza.
 
Asante kk, kama upo mngeta nadhanu takuja huko sku c nyingi naomba tuwasiliane, 0756744827 ukinitumia namba yako kwa msg itakua vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…