Je kwa hapa Tanzania media inalipa au vipi? Kama ndio je nitawezaje kuandaa andiko la kuanzisha media powerhouse hapa bongo? Je kwa TV za wabongo kuanza na background za namna ile kweli ni vema au la?
Mimi napenda kitu modern Au kwa kuwa ndo wanaanza undo waweke vitambaa na background za vitambaa au za kompyuta? Iwe kama CNN bhana. Nipe ushauri.