Kuanzisha media company, ushauri wenu hapa

Kuanzisha media company, ushauri wenu hapa

Xperience

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
278
Reaction score
51
Je kwa hapa Tanzania media inalipa au vipi? Kama ndio je nitawezaje kuandaa andiko la kuanzisha media powerhouse hapa bongo? Je kwa TV za wabongo kuanza na background za namna ile kweli ni vema au la?

Mimi napenda kitu modern Au kwa kuwa ndo wanaanza undo waweke vitambaa na background za vitambaa au za kompyuta? Iwe kama CNN bhana. Nipe ushauri.
 
sema ujasomeka vzuri ila kama una lengo ni pm tuone jinsi ya kufanya
 
Maelezo yako hayajitoshelezi kabisa sijui kama uko serious mkuu

hebu jipange vizuri kiamaelezo tuweze kukusaidia
 
Back
Top Bottom