Tunahitaji mtu mwenye uwezo wa kuwekeza katika biashara ya shule ya awali.Tunataka kufungua shule hiyo jijini Tanga,tayari tumeshafanya critical research na kuona fursa zilizopo ila kikwazo ni kianzio cha kuanzia ambacho ni takribani mil 4.
Idea ni nzuri sana Mkuu nami nina plan kama hiyo tho TANGA ni mbali coz business inayanza ni vizuri ukawa nayo karibu. Tena kwa Dar mtu unaweza kuanza na hata kuwa-pick watoto nyumbani na gari lako binafsi kabla hujapata nguvu ya kununua school bus
Thanks,Tanga imeshapata hati ya kuwa jiji tangu 2006,kaka inaonekana hilo limekupita.. Karibu jijini Tanga..!
Huu ni mradi ulio wazi na unaofuata taratibu zote za kisheria kwa hiyo huna haja ya kuogopa juu kuwekeza.