Kuanzisha shule ya Awali(Nursery School & Baby Class) Business Partner

Kuanzisha shule ya Awali(Nursery School & Baby Class) Business Partner

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Tunahitaji mtu mwenye uwezo wa kuwekeza katika biashara ya shule ya awali.Tunataka kufungua shule hiyo jijini Tanga,tayari tumeshafanya critical research na kuona fursa zilizopo ila kikwazo ni kianzio cha kuanzia ambacho ni takribani mil 4.

Karibuni tuwekeze kwenye elimu kwa Watanzania.
 
ingekuwa ni DSM ningeacha kazi mara moja ila TANGA HAPANA AISEE
 
Acha woga ndugu,kwa nini hutaki Tanga,just be open..!
 
Idea ni nzuri sana Mkuu nami nina plan kama hiyo tho TANGA ni mbali coz business inayanza ni vizuri ukawa nayo karibu. Tena kwa Dar mtu unaweza kuanza na hata kuwa-pick watoto nyumbani na gari lako binafsi kabla hujapata nguvu ya kununua school bus
 
Thanks,Tanga imeshapata hati ya kuwa jiji tangu 2006,kaka inaonekana hilo limekupita.. Karibu jijini Tanga..!
Huu ni mradi ulio wazi na unaofuata taratibu zote za kisheria kwa hiyo huna haja ya kuogopa juu kuwekeza.
 
Back
Top Bottom