Safi sanaa mkuu, wazo zuri.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] wazo zuri, hii isiwe kwa safari za nje ya nchi tu, hata ndani ya nchi, kupeana experiences za maeneo mbalimbali katika safari, ratiba. Na maeneo ya hifadhi (guest house/lodge).
Nakumbuka last year nilikuwa naenda somewhere namanyere/kirando nilikuwa hata sijui kirando ndo wapi ila kwa msaada wa mwana JF nilifika fresh, na alinipa ratiba kamili ya magari kutoka sumbawanga hadi kirando na alinielekeza sehem nzuri na salama kwa kulala, kwahiyo nilifika kama mwenyeji sababu nilifika lodge najua hadi majina ya wahudumu
Baki huko huko mkuu, huku bado si tunajenga viWONDER.
Kuna mmoja alikuwa anachanganya Tanzania na Tasmania, kisiwa kimoja kusini mwa bara la Australia.Aiseee kwamba ni nchi ngeni masikioni mwao???
Wa Nigeria wapo wengi sana , halafu wameanza kusafiri kwa mafungu tangu enzi za ukoloni.Nadhani hakuna amsha amsha tafauti na Nigeria
Itasaidia sana.Kuna mambo ya kuanza kazi sehemu mpya, kusoma, biashara n.k.👏👏👏👏👏👏 wazo zuri, hii isiwe kwa safari za nje ya nchi tu, hata ndani ya nchi, kupeana experiences za maeneo mbalimbali katika safari, ratiba. Na maeneo ya hifadhi (guest house/lodge).
Nakumbuka last year nilikuwa naenda somewhere namanyere/kirando nilikuwa hata sijui kirando ndo wapi ila kwa msaada wa mwana JF nilifika fresh, na alinipa ratiba kamili ya magari kutoka sumbawanga hadi kirando na alinielekeza sehem nzuri na salama kwa kulala, kwahiyo nilifika kama mwenyeji sababu nilifika lodge najua hadi majina ya wahudumu
Kupigwa tena?!Umepita bila kupigwa mkuu
watch your mouth, chuki yako kwa serikali ya Tanzania, au kuisema vibaya haitokuongezea credibility bali watu wanakuona ni kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu na mtumwa wa kifikra.Hahahah...! Natamani kuomba uraia Somalia...kuna vitu nataka nijifunze! ...na wanipe tekniks za kulipua maeneo nyeti😫😫😫😫!unakilipua waiti haouse same min unakilipua chatlle!