Kuanzishwa kwa Jukwaa la Safari

watch your mouth, chuki yako kwa serikali ya Tanzania, au kuisema vibaya haitokuongezea credibility bali watu wanakuona ni kwa jinsi gani ulivyo mpumbavu na mtumwa wa kifikra.

Eish mtu mzima hatishiwi paka😏...ww usitake tufanane fikra
 
Kwanini hadi leo hakuna jukwaa la ujenzi? Jibu ni rahisi, watu watalitumia kufanya matangazo ya biashara bure, hata jukwaa la safari mtalitumia kufanya matangazo bure, JF sio wajinga.
 
Naunga mkono hoja
Jukwaa la Safari kuanzishwa hapa JF
Litatusaidia Sana kujua fursa mbalimbali zilizopo ndani na nje ya nchi ya Tz
 
Absolutely yes mkuu, let's keep this happen.
 
Mpaka leo hili wazo alijafanyiwa kazi duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…