Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Natoa rai kufanyike mabadiliko ya Katiba ili kuanzishwe viti vinne vya ubunge kwa diaspora. Jambo hilo sio jipya kwani hata Bunge la Katiba tulikuwa na uwakilishi wa diaspora.
Kwa mantiki hiyo dada yangu Mange Kimambi lazima ashinde mojawapo ya viti hivyo hata akigombea kama mgombea huru au hata kwa chama cha TADEA. Dada huyu mtanzania mchango na hamasa zake katika kufichua uovu na kusaidia majanga ni mkubwa kuliko hata mabalozi watu lukuki waliopo nje ya Nchi.
Hongera Mange Mheshimiwa Mbunge watu uwakilishi wa Diaspora.