Elections 2010 kuapishwa kwa JF vip

Elections 2010 kuapishwa kwa JF vip

extrovet

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
7
Reaction score
0
wanaharakati vip maapisho ya JF yanaendeleaje. Dk. slaa vip bado kamkazia sura vilevile😛eep:
 
wala msitaarifu hou ujinga wenu, mkataarifiane huko chamwino kwenu sio hapa JF
 
wanaharakati vip maapisho ya JF yanaendeleaje. Dk. slaa vip bado kamkazia sura vilevile😛eep:
NI JK au JF?
Kama ulimaanisha JK, basi na tujue kweli JF imechakachua akili zetu .
 
madhara ya bangi inayechanganywa na makimba haya... kuapishwa JF?? kweli ganja la ****** balaa
 
Back
Top Bottom