Habari za leo wanajmvi.naomba nilete uzi huu kwa maana sielewi.nilipata Mkopo kwa mwaka wangu wa masomo 2013-2014 lakini nilipata kwa asilimia ndogo ya 44.na nmekuwa nikitumia boom kujazia ada pale inapo perea.kutokana na hali ya maisha kuwa magumu na nina kili bila loan board chuo ningekisikia tu kwa niliosoma nao.
Swali langu ni hili, je, nikiwa mwaka wa pili, nina ruhusiwa ku appeal ili niweze kuongezewa katika ada??