Kuappeal HESLB kwa mwaka wa pili wa masomo

Kuappeal HESLB kwa mwaka wa pili wa masomo

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,604
Reaction score
20,085
Habari za leo wanajmvi.naomba nilete uzi huu kwa maana sielewi.nilipata Mkopo kwa mwaka wangu wa masomo 2013-2014 lakini nilipata kwa asilimia ndogo ya 44.na nmekuwa nikitumia boom kujazia ada pale inapo perea.kutokana na hali ya maisha kuwa magumu na nina kili bila loan board chuo ningekisikia tu kwa niliosoma nao.
Swali langu ni hili, je, nikiwa mwaka wa pili, nina ruhusiwa ku appeal ili niweze kuongezewa katika ada??
 
Unaruhudiwa tu..ila jua lazima uwe na strong reason na evidence..maana si mchezo..umepata asilimia nzuri kupata mkopo ni issue sana...mwaka jaa 400 tu walioappeal walipewa humo ni wengi ambao hawakupata kabisa
 
Back
Top Bottom