Dimple Jerry
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 118
- 11
nadhani ugonjwa wa pangusa unakunyemelea.Maumivu yakizidi kamuone daktari
Njia sahihi ni kwenda hospitali . Au utuwekee picha ya hiyo korodani hapa ili itusaidie kutoa ushauri wenye akilijaman wadau naomba mnisaidie juu ya mada yangu ili nipate kuelewa
Njia sahihi ni kwenda hospitali . Au utuwekee picha ya hiyo korodani hapa ili itusaidie kutoa ushauri wenye akili[/QUOTE
Daah...picha ya mak.....ende duuh???!!apige picha kwa simu ae aende studio??!!!kaka vaa tu uso wa mbuzi umfuate dakitari...acha aibu
Nenda hospitali kaka. Kysimuliwa sio sawa na kuona na kushika. Lapate matibabu inaweza kuwa something serious.
Kila la kheri.
utaweka picha?sawa mkuu nimekuelewa
utaweka picha?