kubabuka korodani

kubabuka korodani

Dimple Jerry

Senior Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
118
Reaction score
11
habari za asubuhi wana Jf,wana Jf naomba mnisaidie nina tatizo la kubabuka kwene korodan linatokea muda kisha linapotea wengine wakaniambia labda ni joto au maji maana npo dar na sijawahi kupata hii hali hivyo naomba msaada wenu ili nijue tatizo
 
nadhani ugonjwa wa pangusa unakunyemelea.Maumivu yakizidi kamuone daktari
 
panawasha? au ni ukavu.kama inaambatana na muwasho huenda ni fangasi, tofauti na hivyo check VDRL au RPR ujiridhishe kwamba sio kaswende.
 
jaman wadau naomba mnisaidie juu ya mada yangu ili nipate kuelewa
 
Huo ugonjwa unaitwa p.u.m.b.u erosion,yani linapukutika lote....sababu kubwa ni maji....hasa kuoga kwa maji yenye chumvi....kisayansi imekaa hivi...unatumia maji yenye chumvi afu unavaa nguo..joto lina react na chumvi..ngozi inapukutika...hebu weka picha tukusaidie zaidi
 
Njia sahihi ni kwenda hospitali . Au utuwekee picha ya hiyo korodani hapa ili itusaidie kutoa ushauri wenye akili[/QUOTE
Daah...picha ya mak.....ende duuh???!!apige picha kwa simu ae aende studio??!!!kaka vaa tu uso wa mbuzi umfuate dakitari...acha aibu
 
Nenda hospitali kaka. Kysimuliwa sio sawa na kuona na kushika. Lapate matibabu inaweza kuwa something serious.
Kila la kheri.
 
Hizo ni fangasi zishanipata sana nikiwa shule tulikuwa tunauita pumbu lianta wengi tuliugua ngozi za juu zinatoka na ukikuna unasikia utamu tafuta dawa inaitwa sonaderm ipo kama dawa ya meno ipo kwenye packet ya green hiyo ndiyo ilinisaidia likapotea.
 
Inaweza kuwa ni allergy, hasa sulpur.
Naomba kujua, una mazoea ya kula nyama ya kuku wa kisasa? Kama jibu ni ndiyo, hebu sitisha kwani baadhi ya virutubisho wanavyokula kuku vina content ya sulpur ambayo inaweza kuwa chanzo cha huo muwasho.
 
Back
Top Bottom