La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
Wakuu habari za leo.
Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.
Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD.
Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu uwezekano wa yeye kufanya admission UD kwa hiyo Sociology kisha akishaanza baada ya muda kidogo aandike barua kuomba kubadili course aombe kuhamia Law.
Je, suala hilo linawezekana? Naomba kujuzwa kuhusu hilo wakuu.