Kubadili Course nikiwa Chuoni

Kubadili Course nikiwa Chuoni

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,009
Reaction score
2,315
Wakuu habari za leo.

Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.

Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD.

Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu uwezekano wa yeye kufanya admission UD kwa hiyo Sociology kisha akishaanza baada ya muda kidogo aandike barua kuomba kubadili course aombe kuhamia Law.

Je, suala hilo linawezekana? Naomba kujuzwa kuhusu hilo wakuu.
 
Law udsm ana 1.6>? Uyu utakuta alijaza Law first priority wakampanga Sociology kama alijaza hivi asije akajiloga kwamba akienda atabadilisha

Neva, eva , foreva Law kwa udsm ni mwendo wa Cream tu wanachukua top layer
 
Imejaa kivipi mkuu?
Kila course Ina Capacity (kwa maelekezo ya TCU) hawabebi ili mradi kubeba tu Kuna dogo alikuwa na Division I point 5 (HGL) kaachwa sembuse wewe na division 3?
 
Law udsm ana 1.6>? Uyu utakuta alijaza Law first priority wakampanga Sociology kama alijaza hivi asije akajiloga kwamba akienda atabadilisha

Neva, eva , foreva Law kwa udsm ni mwendo wa Cream tu wanachukua top layer
Yes ana points zaidi ya hizo.
 
Akiweza aapply vyuo vingne law kama udom kwa uhakikishe zaidi. Hpo kubadilisha ni 50/50
 
Kama ni ivyo Ushauri wangu awe tayari kwa lolote maaana walio faulu ni wengi nafasi ni chache sasa apo afanye pata potea.

Sema huwa kunakuwa na chagamoto kama kwenye hiyo course anayotaka kusoma hiwe nafasi zimejaa

Aende Open University

Akiweza aapply vyuo vingne law kama udom kwa uhakikishe zaidi. Hpo kubadilisha ni 50/50
Shukrani wakuu ngoja nimshauri.
 
Kupata ni ngumu. Aende IFM na aachane na insurance haina soko
 
Wakuu habari za leo.

Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.

Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD.

Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu uwezekano wa yeye kufanya admission UD kwa hiyo Sociology kisha akishaanza baada ya muda kidogo aandike barua kuomba kubadili course aombe kuhamia Law.

Je, suala hilo linawezekana? Naomba kujuzwa kuhusu hilo wakuu.

Udsm kubadili kozi hutumi barua...inafanyika ARIS.
Pia Law hatopata nafasi mwisho 1.8 au 1.9 apige Sociology tu
 
Back
Top Bottom