Kila course Ina Capacity (kwa maelekezo ya TCU) hawabebi ili mradi kubeba tu Kuna dogo alikuwa na Division I point 5 (HGL) kaachwa sembuse wewe na division 3?Imejaa kivipi mkuu?
Yes ana points zaidi ya hizo.Law udsm ana 1.6>? Uyu utakuta alijaza Law first priority wakampanga Sociology kama alijaza hivi asije akajiloga kwamba akienda atabadilisha
Neva, eva , foreva Law kwa udsm ni mwendo wa Cream tu wanachukua top layer
Kama ni ivyo Ushauri wangu awe tayari kwa lolote maaana walio faulu ni wengi nafasi ni chache sasa apo afanye pata potea.Yes ana points zaidi ya hizo.
Kama ni ivyo Ushauri wangu awe tayari kwa lolote maaana walio faulu ni wengi nafasi ni chache sasa apo afanye pata potea.
Sema huwa kunakuwa na chagamoto kama kwenye hiyo course anayotaka kusoma hiwe nafasi zimejaa
Aende Open University
Shukrani wakuu ngoja nimshauri.Akiweza aapply vyuo vingne law kama udom kwa uhakikishe zaidi. Hpo kubadilisha ni 50/50
Wakuu habari za leo.
Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law.
Amechaguliwa kusoma pia Insurance katika chuo cha IFM lakini anataka kusoma UD.
Sasa wakuu ameniomba nimshauri nikawaza kuhusu uwezekano wa yeye kufanya admission UD kwa hiyo Sociology kisha akishaanza baada ya muda kidogo aandike barua kuomba kubadili course aombe kuhamia Law.
Je, suala hilo linawezekana? Naomba kujuzwa kuhusu hilo wakuu.