Kubadili head gasket

Kubadili head gasket

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Kwa mwenye experience na hii kitu Tafadhali. Gari Ni subaru Impreza.
Kwa mwenye experience..nahitaji kujua
1. Gharama
2. Performance ya Gari baada ya kubadili
3. Fundi mzuri
 
Cylinder head zipimwe kabla ya kuweka gasket mpya. Moto unaoharibu cylinder head gasket pia huleta madhara kwenye cylinder head zenyewe.
 
Cylinder head zipimwe kabla ya kuweka gasket mpya. Moto unaoharibu cylinder head gasket pia huleta madhara kwenye cylinder head zenyewe.
How much does it cost approx.
 
Cylinder head zipimwe kabla ya kuweka gasket mpya. Moto unaoharibu cylinder head gasket pia huleta madhara kwenye cylinder head zenyewe.

Upo sahihi kabisa, inaonesha mleta mada alinusurika "kukaanga" engine tunaita.

Alitembelea gari na kiwango kidogo sana cha oil au maji/coolant fluid kwenye radiator.

Garage for Subaru, try 0-60 kama bado wapo active.
 
Back
Top Bottom