Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

Kubadili kituo cha kazi kada ya elimu

Kitumburee

Senior Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
142
Reaction score
88
Salamu kwenu wanajamvi,
Nina dada yangu ni mwalimu wa shule ya msingi huko Iringa Kilolo. Anahitaji kuhama mkoa anaopendelea ni Morogoro. Kama kuna anaejua yeyote anaetaka kuhamia Kilolo hata kama hayuko Morogoro naomba tuwasiliane PM.
Shuktlrani
 
Niliwahi sikia uhamisho umefungwa,ila kuna njia unaweza kufanya tafuta mtu wa kubadilishana nae kituo halafu andika barua kisha ipitishe idara zote zinazohushika ila ujikomiti kuwa uhamisho huo hauna malipo......kisha unapeleka K/m utumishi unasubiria majibu
 
Sawa mkuu shukrani kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom