G gayo JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 238 Reaction score 93 Aug 10, 2013 #1 Habari mwana jukwaa la elimu?Mimi kwasasa nafundisha mkoa wa Pwani wilaya ya mkuranga na ningependa kuhamia mkoa wa pwani wilaya ya kibaha au Dar Es Salaam. Kwa ambaye yuko tayari ani PM. Shukrani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Habari mwana jukwaa la elimu?Mimi kwasasa nafundisha mkoa wa Pwani wilaya ya mkuranga na ningependa kuhamia mkoa wa pwani wilaya ya kibaha au Dar Es Salaam. Kwa ambaye yuko tayari ani PM. Shukrani! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums