Kubadili kituo cha kazi kwa mwalimu wa sekondari

Kubadili kituo cha kazi kwa mwalimu wa sekondari

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Habari mwana jukwaa la elimu?Mimi kwasasa nafundisha mkoa wa Pwani wilaya ya mkuranga na ningependa kuhamia mkoa wa pwani wilaya ya kibaha au Dar Es Salaam. Kwa ambaye yuko tayari ani PM.

Shukrani!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom