Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesomeka, tutajitahidi kuongeza nyimbo zaidi. Au tubadili kabisa?Ni muda sasa tumekuwa tukisikiliza musiki uile ule hapa JF kwenye Bongoflava/zilipendwa/injili. Je si muda mwafaka sasa kubadili au ku-update list kulingana na wakati uliopo?
Umesomeka, tutajitahidi kuongeza nyimbo zaidi. Au tubadili kabisa?
Umesomeka, tutajitahidi kuongeza nyimbo zaidi. Au tubadili kabisa?
Umesomeka, tutajitahidi kuongeza nyimbo zaidi. Au tubadili kabisa?
Zilipendwa nyingine kuzipata kazi kwelikweli. Bongo Flava zinapatikana kwa sana tu, Nyimbo za Injili nazo zipo nyingi sana tu, lakini Taarab ni kubwa sana, yani moja inaimba dakika 18 au hata zaidi. Nazo tumeombwa tuziweke, zipo na tunaangalia cha kufanya kuweka mambo sawa.Kuongeza nyimbo zaidi hasa zile za wanamuziki wanaotamba kwa sasa katika chat mbalimbali especial BONGOFLEVA.
Zilipendwa nyingine kuzipata kazi kwelikweli. Bongo Flava zinapatikana kwa sana tu, Nyimbo za Injili nazo zipo nyingi sana tu, lakini Taarab ni kubwa sana, yani moja inaimba dakika 18 au hata zaidi. Nazo tumeombwa tuziweke, zipo na tunaangalia cha kufanya kuweka mambo sawa.
Ahsanteni