Kubadili mwonekano wa hii gari iwe Monster

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road.

Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili rims? Maana rims nazotumia ni zile ambazo zilikuja na gari na nimekuwa nikiona rims flani kariakoo ambazo sikuzipenda ni zile za kichina.

Pia si mpenzi wa low profile. Napenda kama kuna namna rims zibaki hizi hizi ila if possible tyres ziweze kitoka pembeni kubadili mwonekano.

Jambo lingine ambalo nawaza kutaka lifanya ni kubadili gari kwa kuweka mkonga ili kuongeza ufanisi wa gari kupumua. Watalaamu wanasema inaongeza fuel efficiency na pia kuongeza speed/nguvu. Ukiacha kusaidia kama gari itapita kwenye maji mengi.

Je inawezekana nikabadili gari kwa mwonekano huo hasa wa rims pasipo kulazimika kununua rims nyingine? Je gharama yake kuweka hizo spacer inaweza kuwa tsh ngapi?
 
Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    42.4 KB · Views: 16
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    35.6 KB · Views: 15
Achana na upgrades za muonekano, fanya mapping.
images (14).jpeg
 
Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road.

Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili rims? Maana rims nazotumia ni zile ambazo zilikuja na gari na nimekuwa nikiona rims flani kariakoo ambazo sikuzipenda ni zile za kichina.

Pia si mpenzi wa low profile. Napenda kama kuna namna rims zibaki hizi hizi ila if possible tyres ziweze kitoka pembeni kubadili mwonekano.

Jambo lingine ambalo nawaza kutaka lifanya ni kubadili gari kwa kuweka mkonga ili kuongeza ufanisi wa gari kupumua. Watalaamu wanasema inaongeza fuel efficiency na pia kuongeza speed/nguvu. Ukiacha kusaidia kama gari itapita kwenye maji mengi.

Je inawezekana nikabadili gari kwa mwonekano huo hasa wa rims pasipo kulazimika kununua rims nyingine? Je gharama yake kuweka hizo spacer inaweza kuwa tsh ngapi?
Nenda Ilala katafute hii kitu ni kama spencer unavalisha juu ya Disc rotter yako ina kuwa na stadi zake bei ni around 200k. Enjoy it.

images.jpg
 
Unachotaka kufanya ni Sawa na mwanamke mrembo kumpeleka Gym awe na muonekano wa kiume Kwa kuwa na misuli na body la kutisha.

Kila kitu kitafanyika ni pesa yako, nenda kaichongee Bull Bar,Side bar protection,winch motor,weka kelia juu, tanki dogo la maji nyuma, weka koleo nyuma, inua gari na weka tairi kubwa.

Ila kumbuka utakuwa umeharibu stability yote ya gari, kama utakuwa mkimbiaji wa speed jitahidi uweke na Roll cage ndani ili gari ikipinduka unatoka ndani kama ulikuwa chumbani.
 
We jamaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unachotaka kufanya ni Sawa na mwanamke mrembo kumpeleka Gym awe na muonekano wa kiume Kwa kuwa na misuli na body la kutisha.

Kila kitu kitafanyika ni pesa yako, nenda kaichongee Bull Bar,Side bar protection,winch motor,weka kelia juu, tanki dogo la maji nyuma, weka koleo nyuma, inua gari na weka tairi kubwa.

Ila kumbuka utakuwa umeharibu stability yote ya gari, kama utakuwa mkimbiaji wa speed jitahidi uweke na Roll cage ndani ili gari ikipinduka unatoka ndani kama ulikuwa chumbani.
🤣 🤣 🤣
Walah akiweka hayo manyakunyaku yote hiko kigari hakitembei
 
Back
Top Bottom