Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nina gari ndogo ambayo nimepata idea ya kuibadili mwonekano iwe na mwonekano ambao ni manly and off road.
Ni Toyota Rush. Je naweza kuifanya tyres zake zitoke kwa kuvimba pembeni pasipo kubadili rims? Maana rims nazotumia ni zile ambazo zilikuja na gari na nimekuwa nikiona rims flani kariakoo ambazo sikuzipenda ni zile za kichina.
Pia si mpenzi wa low profile. Napenda kama kuna namna rims zibaki hizi hizi ila if possible tyres ziweze kitoka pembeni kubadili mwonekano.
Jambo lingine ambalo nawaza kutaka lifanya ni kubadili gari kwa kuweka mkonga ili kuongeza ufanisi wa gari kupumua. Watalaamu wanasema inaongeza fuel efficiency na pia kuongeza speed/nguvu. Ukiacha kusaidia kama gari itapita kwenye maji mengi.
Je inawezekana nikabadili gari kwa mwonekano huo hasa wa rims pasipo kulazimika kununua rims nyingine? Je gharama yake kuweka hizo spacer inaweza kuwa tsh ngapi?