monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Changamoto ni wapi nitaenda badilisha mkuuPambana mkuu hapo unapata kama 120,000
Yuan ila haisumbui kubadili,mjini duka nyingi zinabadili..Nenda airpot DSM mkuu ,,,
Mm nilikuwa na yuan 1500 nilihangahka nazo Sana hadi nilipoenda airport nilikuwa na shida fulani nikakuta jamaa wanaba dirisha fedha karibu zote dunian nam nikafanikiwa sababu nilikuwa natembea nazo kwa wallet yangu kila niendako
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu mm ilikuwa wakat wa magu anafunga Yale maduka ya kubadilisha pesa niluhaha Sana s mliman city city center kariakoo had bank nako Mambo yakawa magumuYuan ila haisumbui kubadili,mjini duka nyingi zinabadili..
Ila mwendazake naye alivurugua mambo sana..Mkuu mm ilikuwa wakat wa magu anafunga Yale maduka ya kubadilisha pesa niluhaha Sana s mliman city city center kariakoo had bank nako Mambo yakawa magumu
Nilileta had uzi humu kuomba msaada
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu sijawah kufika airpot ni ile mpya au ya zaman je wanahitaji kitambulisho?Nenda airpot DSM mkuu ,,,
Mm nilikuwa na yuan 1500 nilihangahka nazo Sana hadi nilipoenda airport nilikuwa na shida fulani nikakuta jamaa wanaba dirisha fedha karibu zote dunian nam nikafanikiwa sababu nilikuwa natembea nazo kwa wallet yangu kila niendako
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu sijawah kufika airpot ni ile mpya au ya zaman je wanahitaji kitambulisho?
Huyo jamaa alikuwa kivuruge kwa mtafutaji wa maisha yeyote. Wanaomshabikia waangalie vizuri . Utawakuta ni wa hivi hivi tuMkuu mm ilikuwa wakat wa magu anafunga Yale maduka ya kubadilisha pesa niluhaha Sana s mliman city city center kariakoo had bank nako Mambo yakawa magumu
Nilileta had uzi humu kuomba msaada
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asikwambie mtu, kile kipindi kilikuwa cha "mashetani" kweli. Mimi pia nilikuwa na Indian Rupee. Nakumbuka kuna mtu aliniambia hukohuko ulipo badilisha uje na USD, nikajidai sina muda. Nilipokanyaga tu naambiwa Mwendazake kafunga maduka, na kazi ya kubadilisha kaitwisha Posta (sitokuja kusahau rate niliyokutana nayo)!!Mkuu mm ilikuwa wakat wa magu anafunga Yale maduka ya kubadilisha pesa niluhaha Sana s mliman city city center kariakoo had bank nako Mambo yakawa magumu
Nilileta had uzi humu kuomba msaada
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app