Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 266
- 300
Wakuu naombeni msaada kwa anayejua procedures na cost za kubadili plate number kutoka private to commercial.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iv ni athari zipi utazipata endapo utaendelea kubaki n private number uku ukitumia commercial
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hapo wanafanyaje na uku katika kupakia hati zako ili ujiunge na uber driver wanahitaji upige picha kadi ya gari commercial
Na ukibadiri unahitaji hata bima ya gari ibadirishwe ??1. Kisheria ni kosa ikiwa gari yako imesajili kwa biashara na ww hujabadilisha plate no
2. Tambua gari iliyosajili kwa biashara inatambulika kama biashara yyt nyingine ambayo unatakiwa kulipa kodi ya mapato, ss kuna uwezekano nyakati za ukaguzi wa magari ya biashara ukaa wapenya coz utambulisho wa haraka wa kujua gari ya biashara ni plate no kuwa nyeupe
3. Utakuwa wakosa wateja hence mapaato kwa sababu urahisi wa mteja kujua gari ya biashara ni plate no. Labda uwe na wateja ako maalum
Lkn kwa nini usitii sheria, taratibu na kanuni iwapo umeamua kuifanya gari ya biashara basi fuata mwongozo. "Tii Sheria bila Shuruti"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hapo wanafanyaje na uku katika kupakia hati zako ili ujiunge na uber driver wanahitaji upige picha kadi ya gari commercial
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Sana mkuu kwa maelekezo mazuri naamini yatasaidia na watu wengine .Ipo hivi
1. Hatua ya kwanza katika kusajili gari kuwa ya biashara ni kubadilisha kipengele cha matumizi ya gari kutoka "private" na kuwa "commercial".
2. Baada ya hatua ya kwanza ina maana utatakiwa ubadilishe ile plate no ambayo itakuwa nyeupe
3. Vilevile suala la bima ni la kubadilishwa kimatumizi coz mwanzo maelezo yalikuwa kwa matumizi ya mtu binafsi lakini kwa sasa ni matumizi ya biashara (watu wa Bima wataelezea zaidi)
Tukirejea katika suala la Uber ina maana mhusika atafanya hatua ya kwanza na ya tatu kisha ataiwasilisha vielezo hivyo ktk za uber kwa ajili ya usajili pasipo kubadilisha plate no.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na vipi ukisha kamilisha hizo process gari lako linaweza hata kutoka nje ya mji au ukutaka kutoka nje ya eneo la biashara utahitaji kibali tenaKisha utatakiwa uende ofisi ya TRA iliyokaribu nawe ukakadiriwe kodi ya mapato yatakayo tokana na hiyo biashara ya gari na kama uko na biashara nyingine yataunganishwa.
Ukishakadiriwa na kulipa awamu ya kodi utapewa stika ya mapato ya kubandika kwenye gari ili usipate usumbufu barabarani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla sijaenda nataka nijue ABC ili niwe na uhakika zaidiNenda TRA utapewa utaribu wake, very easy
Ikiwa ina deni la biashara kutoka ulipo isajiri kama biashara ni lazima uilipe hiyo pesa na kufunga file la biashara kisha kadi yako wanakufyatulia ya private..kulipa lazima ulipe kutoka uliposajiri kama ni Taxi, Hiace town kama daladala na vinginevyo.Kabla sijaenda nataka nijue ABC ili niwe na uhakika zaidi
Deni la kibiashara unaamisha nini?Ikiwa ina deni la biashara kutoka ulipo isajiri kama biashara ni lazima uilipe hiyo pesa na kufunga file la biashara kisha kadi yako wanakufyatulia ya private..kulipa lazima ulipe kutoka uliposajiri kama ni Taxi, Hiace town kama daladala na vinginevyo.
Kwisha.
Deni la kibiashara unaamisha nini?