Kubadili plate number kutoka private kwenda commercial

Gharama yake ni
1. TRA Utalipia 50,000 ya kadi kuichapa upya ambapo utatakiwa kuandika barua ya kubadilisha matumizi ya gari toka private kwenda commercial, pia utaambatanisha kitambulisho chako pamoja na passport size moja. Ktk barua (heading) andika na TIN no yako na utaenda na kadi orijino ya gari

2. Baada ya kupata kadi utaenda ktk makampuni yanayotengeneza plate no na kulipia gharama sina uhakika kwa ss 2020 lkn ilikuwa around 15,000. Huku utaenda na kadi ya gari iliyobadilishwa kipengele cha matumizi pamoja na kitambulisho chako.

Wajuzi wengine wataongezea zaidi
Wakuu naombeni msaada kwa anayejua procedures na cost za kubadili plate number kutoka private to commercial.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kisheria ni kosa ikiwa gari yako imesajili kwa biashara na ww hujabadilisha plate no
2. Tambua gari iliyosajili kwa biashara inatambulika kama biashara yyt nyingine ambayo unatakiwa kulipa kodi ya mapato, ss kuna uwezekano nyakati za ukaguzi wa magari ya biashara ukaa wapenya coz utambulisho wa haraka wa kujua gari ya biashara ni plate no kuwa nyeupe
3. Utakuwa wakosa wateja hence mapaato kwa sababu urahisi wa mteja kujua gari ya biashara ni plate no. Labda uwe na wateja ako maalum

Lkn kwa nini usitii sheria, taratibu na kanuni iwapo umeamua kuifanya gari ya biashara basi fuata mwongozo. "Tii Sheria bila Shuruti"!
Iv ni athari zipi utazipata endapo utaendelea kubaki n private number uku ukitumia commercial

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kisheria ni kosa ikiwa gari yako imesajili kwa biashara na ww hujabadilisha plate no
2. Tambua gari iliyosajili kwa biashara inatambulika kama biashara yyt nyingine ambayo unatakiwa kulipa kodi ya mapato, ss kuna uwezekano nyakati za ukaguzi wa magari ya biashara ukaa wapenya coz utambulisho wa haraka wa kujua gari ya biashara ni plate no kuwa nyeupe
3. Utakuwa wakosa wateja hence mapaato kwa sababu urahisi wa mteja kujua gari ya biashara ni plate no. Labda uwe na wateja ako maalum

Lkn kwa nini usitii sheria, taratibu na kanuni iwapo umeamua kuifanya gari ya biashara basi fuata mwongozo. "Tii Sheria bila Shuruti"!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukibadiri unahitaji hata bima ya gari ibadirishwe ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi
1. Hatua ya kwanza katika kusajili gari kuwa ya biashara ni kubadilisha kipengele cha matumizi ya gari kutoka "private" na kuwa "commercial".

2. Baada ya hatua ya kwanza ina maana utatakiwa ubadilishe ile plate no ambayo itakuwa nyeupe

3. Vilevile suala la bima ni la kubadilishwa kimatumizi coz mwanzo maelezo yalikuwa kwa matumizi ya mtu binafsi lakini kwa sasa ni matumizi ya biashara (watu wa Bima wataelezea zaidi)

Tukirejea katika suala la Uber ina maana mhusika atafanya hatua ya kwanza na ya tatu kisha ataiwasilisha vielezo hivyo ktk za uber kwa ajili ya usajili pasipo kubadilisha plate no.
Hivi hapo wanafanyaje na uku katika kupakia hati zako ili ujiunge na uber driver wanahitaji upige picha kadi ya gari commercial

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo hivi
1. Hatua ya kwanza katika kusajili gari kuwa ya biashara ni kubadilisha kipengele cha matumizi ya gari kutoka "private" na kuwa "commercial".

2. Baada ya hatua ya kwanza ina maana utatakiwa ubadilishe ile plate no ambayo itakuwa nyeupe

3. Vilevile suala la bima ni la kubadilishwa kimatumizi coz mwanzo maelezo yalikuwa kwa matumizi ya mtu binafsi lakini kwa sasa ni matumizi ya biashara (watu wa Bima wataelezea zaidi)

Tukirejea katika suala la Uber ina maana mhusika atafanya hatua ya kwanza na ya tatu kisha ataiwasilisha vielezo hivyo ktk za uber kwa ajili ya usajili pasipo kubadilisha plate no.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Sana mkuu kwa maelekezo mazuri naamini yatasaidia na watu wengine .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisha utatakiwa uende ofisi ya TRA iliyokaribu nawe ukakadiriwe kodi ya mapato yatakayo tokana na hiyo biashara ya gari na kama uko na biashara nyingine yataunganishwa.

Ukishakadiriwa na kulipa awamu ya kodi utapewa stika ya mapato ya kubandika kwenye gari ili usipate usumbufu barabarani.

Na vipi ukisha kamilisha hizo process gari lako linaweza hata kutoka nje ya mji au ukutaka kutoka nje ya eneo la biashara utahitaji kibali tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda TRA utapewa utaribu wake, very easy
 
Kabla sijaenda nataka nijue ABC ili niwe na uhakika zaidi
Ikiwa ina deni la biashara kutoka ulipo isajiri kama biashara ni lazima uilipe hiyo pesa na kufunga file la biashara kisha kadi yako wanakufyatulia ya private..kulipa lazima ulipe kutoka uliposajiri kama ni Taxi, Hiace town kama daladala na vinginevyo.

Kwisha.
 
Deni la kibiashara unaamisha nini?
 
Yani aliyekuuzia kama alikuwa hajamalizana na TRA atakuwa na deni itabidi lilipwe kwanza,
Uende TRA na TIN kama huna uende na NIDA,
Mkataba wa mauziano,
Card original ya gari, ID ya muuzaji ,
Ni vizuri mnunuzi na muuzaji wote mwende na chombo chenyewe cha moto, n.k
 
Hapo huenda umechanganya mambo 2,
1. Kubadili umiliki wa gari
2. Kubalidi matumizi ya gari

Je usahihi ni upi? Au vyote 2 ?
 
Back
Top Bottom