KUBADILI TOP COVER GASKET

KUBADILI TOP COVER GASKET

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga top cover,spanner ni 30mm,msaada tafadhali.
IMG_20220506_192039.jpg
 
Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga top cover,spanner ni 30mm,msaada tafadhali.View attachment 2178835
Mkuu hii kweny picha ni head gasket..
Top cover gasket haipo hivyo...

Top cover gasket kqma una ujuzi kiasi haga wewe unaweza kubadilisha..
Ila head gasket, tafuta wataalamu....

Hapo ndipo injini ilipo..
 
Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga top cover,spanner ni 30mm,msaada tafadhali.View attachment 2178835
Hiyo picha sio ya top cover gasket, ila cylinder head gasket
 
Back
Top Bottom