profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga top cover,spanner ni 30mm,msaada tafadhali.