profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
mtaalam,nilikuwa nauliza kama kuna la ziada,upande wa ndani wa plug ya mwisho,panavujisha sana,nikitembea km 70,oil inakuwa imepungua kidogo,ndo kukagua nikakuta hiyo leakage mkuu...Mbona kila kitu umekitaja
Mkuu hii kweny picha ni head gasket..Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga top cover,spanner ni 30mm,msaada tafadhali.View attachment 2178835
ni kweli mkuu,nimesha edit,ni hii hapa .Top cover/valve cover gasket zina muonekano huu..View attachment 2179655
ni sawa mkuu,uko sahihiMkuu hii kweny picha ni head gasket..
Top cover gasket haipo hivyo...
Top cover gasket kqma una ujuzi kiasi haga wewe unaweza kubadilisha..
Ila head gasket, tafuta wataalamu....
Hapo ndipo injini ilipo..
Top cover gasket nakushauri nunua mpya uweke..ni top cover gasket mkuu
shukrani mkuu,ushauri mzuri..Top cover gasket nakushauri nunua mpya uweke..
Hizi gasket maker baada ya muda mfupi oil inaanza kuvuja kutoka kwenye maeneo ya valves na camshaft na kuelekea kwenye plugs au kuvuja nje ya block engine..
Ulifanikiwa?shukrani mkuu,ushauri mzuri..
Hiyo picha sio ya top cover gasket, ila cylinder head gasketWataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga top cover,spanner ni 30mm,msaada tafadhali.View attachment 2178835
gari za toyota na mafundi wake hawatakagi maringoUlifanikiwa?
Gharama ulizoingia kiasi gani... Head gasket na Top Cover gasket. Pamoja na ufundi.