Habari za mida wakuu..
Mi nna changamoto moja kwa upande wa RITA verification number. Nmeingiza taarifa zangu mhim na kwa usahihi zaidi ya mara 2 lakini nikishamaliza na kuletewa control number ya malipo, nikishalipia taarifa za tarehe ya kuzaliwa inabadlika kutoka 29-10-2004 na kua 10-05-2006, je shida itakua ni nini?