yap inawezekan, chamsing nenda kaombe nafac chou unachotak kuhamia wakikuambia ipo utaandika barua kwa principal wa chou unachotak kuondok ili akuruhus na pia utaandika barua kw principal wa chuo unachotak kuhamia atakupokea na ataandik barua kwend tcu wakuadmit pal cz chuo hakiwez kufany admissin ni tcu tu ila uw umepat nafac kweny chuo unachotak kwend..USHAUR WANG KWAK.. kwa kuw bado hujaanz kusom unawez kwend tcu nw kuwaomb wakubadilishie chuo wakupangie chuo kingin kwa sababu zinazokufany uhame chou hicho.. u cn do t nw ts pocbl