Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG.
Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09.
JF Never Fail....
Ngoja niicheki mkuujaribu kutumia app inaitwa "all document reader" ipo playstore
Nipo dar.Kaka kama Utakua na Machine(computer) Tafuta Application inaitwa Format Factory basi Linabaki swala la Lugha tu na skills Za kawaida unakua umemaliza kazi
Kama upo Dar es Salaam Na Haujaweza kufanya Hivyo Naomba unitafute Nikusaidie Me Ni Mobile-Technician Usiwaze Kuhusu Nauli na Gharama zingine-Binafsi Napend Kusaidi watu na kupata experience(Nitakufata) Mwenyew Ulipo
Nipo dar.
Ngoja nikucheki PM niombe muda wako JUMAMOSI
https://smallpdf.com/Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG.
Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09.
JF Never Fail....
Nilichokua nacho ni pdf iliyo seviwa kwenye JPEG nilitaka kuifanyia changes...Mm huwa natumia foxrider na huwa inanisaidia sana kubadili PDF to gpeg mkuu
Kama badp hujasolve tatizo sema ili nikuelekeze kupitia foxrider
Changes ili iwe nn?Nilichokua nacho ni pdf iliyo seviwa kwenye JPEG nilitaka kuifanyia changes...
Nilitaka kubadili taarifa (maneno) yaliyokuwepo nimeshafanikiwa.Changes ili iwe nn?