Kubadilisha document ya PDF Jpeg

Kubadilisha document ya PDF Jpeg

Black Label

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
432
Reaction score
553
Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG.
Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09.

JF Never Fail....
 
Wakuu naomba maelekezo ya wapi naweza kwenda kupata msaada wa kubadilisha PDF doc ambayo iko kwenye format ya JPEG.
Niko Dar na naweza kufanya Jumamosi 04/09 au Jumapili 05/09.

JF Never Fail....

Kaka kama Utakua na Machine(computer) Tafuta Application inaitwa Format Factory basi Linabaki swala la Lugha tu na skills Za kawaida unakua umemaliza kazi
Kama upo Dar es Salaam Na Haujaweza kufanya Hivyo Naomba unitafute Nikusaidie Me Ni Mobile-Technician Usiwaze Kuhusu Nauli na Gharama zingine-Binafsi Napend Kusaidi watu na kupata experience(Nitakufata) Mwenyew Ulipo
 
Nipo dar.
Ngoja nikucheki PM niombe muda wako JUMAMOSI
 
Muwe waangalifu sana na watu wanaojifanya wajuzi wa mambo hapa JF kumbe ni matapeli au hawajui kile wanachodai wanajua.

Kuna mmoja alinipa moyo nikajitahidi kukutana nae akaja kabeba disc kumbe hamna kitu. Kanjanja!! Kanipeleka toka Sinza hadi Kimara huko, akapoteza sana muda wangu wakati nikihitaji utatuzi wa haraka.

Hata hivyo nilikuja kupata solution mahali pengine 100%....
 
Kuna site kibao unaweza bali online. Anza na ilove pdf fasta
 
Mm huwa natumia foxrider na huwa inanisaidia sana kubadili PDF to gpeg mkuu

Kama badp hujasolve tatizo sema ili nikuelekeze kupitia foxrider
 
Mm huwa natumia foxrider na huwa inanisaidia sana kubadili PDF to gpeg mkuu

Kama badp hujasolve tatizo sema ili nikuelekeze kupitia foxrider
Nilichokua nacho ni pdf iliyo seviwa kwenye JPEG nilitaka kuifanyia changes...
 
Naenda Google andika I LOVE PDF utachagua format unayohitaji na utaconvert kutoka format moja kwenda format nyingine.

Asante
Na Nikutakie kila la kheri.
 
Tutoeni ujinga na sisi wengine hii jpeg ni nini na inahusikaje ?
 
Back
Top Bottom