Kubadilisha grades

Kubadilisha grades

Ali Hemed

Member
Joined
Jul 9, 2021
Posts
21
Reaction score
11
Naomba kuuliza Nina rafiki amemaliza kidatu cha nne Kenya (Kcse) anataka kufanya conversation ya grade zake kwa mfumo wa necta je afanye nn?
 
Naomba kuuliza Nina rafiki amemaliza kidatu cha nne Kenya (Kcse) anataka kufanya conversation ya grade zake kwa mfumo wa necta je afanye nn?
Utaratibu upo unaenda baraza la mitihani wanafanya equivalence
Pia walitangaza utaratibu wa kufanya online waweza Ingia www.necta.go.tz nenda kwenye e-services
Au wasiliana nao kwa esnecta@necta.go.tz
Wakupe maelekezo.
 
Back
Top Bottom