R Ressler New Member Joined Jun 18, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Sep 28, 2023 #1 Habari ninaomba kuuliza kwa wenye uzoefu kubadilisha kozi bugando diploma kuingia Radiology ni uhakika au inaweza kuwa ngumu
Habari ninaomba kuuliza kwa wenye uzoefu kubadilisha kozi bugando diploma kuingia Radiology ni uhakika au inaweza kuwa ngumu
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 2,780 Reaction score 3,733 Oct 4, 2023 #2 Wahi Bugando Mapema waambie kama nafasi ipo na vigezo unavyo unahama