Kubadilisha kozi

Kubadilisha kozi

Ressler

New Member
Joined
Jun 18, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Habari ninaomba kuuliza kwa wenye uzoefu kubadilisha kozi bugando diploma kuingia Radiology ni uhakika au inaweza kuwa ngumu
 
Wahi Bugando Mapema waambie kama nafasi ipo na vigezo unavyo unahama
 
Back
Top Bottom