Bwire Emanuel
Member
- Jan 29, 2013
- 25
- 7
"Mambo vipi wadau wa elimu" nimeanza kwa salamu ya kishkaji, si kwamba waheshimiwa sana nimewadharau. Mimi nina maswali mengi kichwani. Na ambayo sijayapatia majibu hadi sasa....... Kinachoniumiza sana ni waziri waelimu kusima mbele ya watu, wanaume kwa wanawake walio na akili timamu. Nakudai "eti msiwasikilize wanao ingiza siasa kwenye elimu". Hivi kama kweli waziri wa kikwete huyu mbaba alopewa wizara ya elimu kama waziri mwenye dhamana. Nini kimemtuma kutangaza urekebishaji wa matokeo kwakutumia kigezo "Z"? Au hizo siyo siasa? Kwanza huyu jamaa wa elimu aliudanganya uma kwakutangaza matokeo ya uongo, akasababisha vifo vya vijana nawatoto wengi waliojituma kielimu, akaharibu future life yao, akawaathiri kisaikolojia. Mbona hakuona umuhimu wa kurekebisha matokeo kabla ya kutangaza? Sivyotu. Akaingilia madalaka kwakutangaza matokeo badala ya katibu wa baraza la mitihani kama ilivyozoeleka. Huyu jamaa hakika ni boyakweli. Wanasiasa anaodai wanaharibu elimu ndo wameibua kijitambua kwa watanzania nakuanza kudai haki zao. Kunahaja ya kufanya uamuzi mzito tena bila kumtazama mtu usoni nakisha kurekebisha baraza la Mawaziri.