Kubadilisha Umiliki wa Pikipiki niliyonunua

Mdudubitehunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
369
Reaction score
628
Wakuu Wasalam,
Nimenunua Pikipiki kwa mtu hapa Morogoro Mjini.
Nahitaji kubadilisha Umiliki ili nyaraka zisome majina yangu,

Naomba wenye uelewa wa process ninazotakiwa nipitie na gharama za kukamilisha mchakato huo.
Natanguliza Shukran πŸ™
 
1.Mkataba wa mauziano
2.Kadi orginal
3. Vitambulisho vya muuzaji na mnunuaji
4.mkataba uwe na sahihi ya mwanashria
5. Muwe na picha za pasipoti zisizopungua mbili au 3

Nendeni TRA mkabadilishe hakuna shida ni mda mfupi tu
 
Asante sana mkuu
Na gharama vp kumaliza huo mchakato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…