kuna mtu namfahamu yupo kilombero mjini ni mtu wa kwetu kabisa huko Mpwapwa town,ukiongea nae na hisi atarudi tu home,mi nipo Ngara -Kagera km vipi nichekie watu wanaotaka kurudi huku kwao tubadilishane nao,ngoja nikuchekie namba ya huyo wa kilombero muongee nae. ni chek kwa 0789 123461