Kubadilishana kituo cha kazi mi nipo mpwapwa mjini

Kubadilishana kituo cha kazi mi nipo mpwapwa mjini

matumla

Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
25
Reaction score
0
Mi mwalimu wa secondary mpwapwa nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wilaya kilombero, aliyetayari anitafute namba 0782686355
 
kuna mtu namfahamu yupo kilombero mjini ni mtu wa kwetu kabisa huko Mpwapwa town,ukiongea nae na hisi atarudi tu home,mi nipo Ngara -Kagera km vipi nichekie watu wanaotaka kurudi huku kwao tubadilishane nao,ngoja nikuchekie namba ya huyo wa kilombero muongee nae. ni chek kwa 0789 123461
 
Back
Top Bottom