Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
NAatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi aje Halmashauri ya MOROGORO (v) nami nipate kwenda katika wilaya ya KIBAHA, au wilaya yeyote ya DAR ES SALAAM. Kwa mawasiliano kwa mwenye utayari anipigie kwenye 0719134954