TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Nina taarifa kwamba stand ya Magufuli anapatiwa muwekezaji kwa shughuli tofauti na stand inahamia mawasiliano (Japo si rasmi), na waliokuwa wanatoa huduma maeneo yale upande wa nje wameshahamishwa wamebaki wa ndani tu.
Sababu moja wapo ya kujenga stand kule ilikuwa ni kupunguza msongamano mjini, wamefeli.
Inakuwaje wanatumia mabilioni ya pesa kufanya kitu mwisho wa siku kitu hicho kinabadirishwa matumizi kiholela.
Tafsiri nyepesi ni kwamba nchi haina mipango endelevu, mambo yanafanyika kwa mihemko bila kufanya upembuzi yakinifu wa mambo kabla ya maamuzi.
Hebu tuone nini kitajiri.